Thursday, 10 July 2014
Kinana-afanya-mazungumzo-na-mgombea-wa.
Kinana-afanya-mazungumzo-na-mgombea-wa. Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mgombea wa Urais wa Msumbiji
Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi kwenye hotel ya Golden Tulip ambapo
alikuwa na . Katibu wa NEC Siasa na mazungumzo nayeUhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro ambaye pia ni Waziri wa Katiba na Sheria akisalimiana na Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Frelimo Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi, kabla ya kuanza kwenye hoteli ya Golden Tulip . Mgombea wa Urais
wa Msumbiji kwa tiketi ya Frelimo Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi
akijibu baadhi ya maswali ya waandishi wa habari ambao walitaka kufahamu
mahusiano yao na CCM pamoja na namna Demokrasia inavyoendeshwa nchini
Msumbiji,Mheshimiwa Nyusi alisema mahusiano yao na CCM ni mazuri na ya
kihistoria Tangia wakati wa mapambano ya Ukombozi,alipoulizwa kuhusu
uwezo wake wa kuongea Kiswahili vizuri alisema wakati wa mapambano ya
Ukombozi aliwahi ishi Tunduru na Nachingwea nchini Tanzania. Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa pamoja na Katibu wa NEC Siasa na
Uhusiano wa Kimataifa Dr.Asha-Rose Migiro(Kulia),Katibu wa NEC
Oganizesheni Dr.Mohamed Seif Khatibu na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Nape Nnauye na Maofisa wengine wa Chama Cha Mapinduzi kwenye meza ya mazungumzo na Mgombea wa Urais wa Msumbiji
kwa tiketi ya chama cha Frelimo Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi na Ujumbe wake kwenye ukumbi wa Nyerere,Golden Tulip Hotel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment