Thursday 24 April 2014

samexa.blogsport.com;BOFYA HAPA KUONA MADHARA YANAYO TOKEA DHIDI YA MVUA ZINAZO ENDELEA KUNYESHA DAR ES SALAAM.hili ni eneo ambalo lilikua na makazi ya watu [karakata KIPAWA]kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa limegeuka mto.mawimbi makali ya maji yalisababisha kumomonyoka kwa baadhi ya kingo za bembezoni mwa mkondo wa maji na kufanya kua mto mkubwa.pamoja na hayo haikuishia kuhalibu makazi ya watu kumbe hata miundombinu kama inavyoonekana katika picha namba mbili [kiwalani dsm].sii hapo tu uhalibifu huu upo asilimia kubwa katika maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam. .



No comments:

Post a Comment