Thursday 24 April 2014


samexa.blogsport.com;PICHA DHIDI YA MUITIKIO KATIKA ORDITION YA 93.7 POWER FM RADIO ILIOKO KAWE DAR ES SALAAM.
zaidi ya watu 450 waliweza kujitokeza katika ordition ya kusaka watangazaji bora siku chache zilizo pita kufatia kurushwa kwa tangazo la kusaka madjs na mapresenters katika kituo hicho

No comments:

Post a Comment