Friday 9 May 2014

www.samexa.blogsport.com//TAZAMA PICHA HIKI NDIO CHAMA KIPYA.
ni chama kinacho aminika kua kimeweza kufanikiwa kupata hati yake ya usajili wa kudumu kwa kipindi cha miezi mitatu kipindi ambacho kinaaminika kua ni kifupi kuwahi kutokea katika vyama vilivyo tangulia ACT-TANZANIA leo ndio kimekabidhiwa hati ya kudumu na msajili wa vyama mara baada ya kumalizika zoezi la usajili lililofanyika takribani katika mikoa kumi teule.

No comments:

Post a Comment