hii ni hali na matokeo halisi ya mvua zinazoenendelea kunyesha katika jiji la dar es saalam, hli ni eneo lililotingwa na maji nje na ndani ktk eneo la karakata Dar es salam.
hii ni sehemu ya upande wa kulia wa mto msibazi ambayo inaendelea kumeguka pembezoni na kuendelea kuangusha baadhi ya nyumba zilizo karibu ya huo mto.kwa taarifa nyepesi nyesipesi zinasema kua takribani nyumba 14 zimeanguka kwa kusombwa na maji katika eneo hilo.
www.samexa.blogsport.com;tazama matokeo ya mvua zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es salaam.
samexa.blogsport.com
No comments:
Post a Comment